Tumefanya nini tena?[emoji23][emoji23][emoji23]...Na hawa ndo wanaume wetu wakitanzania...
Ni mtazamoktk maandishi yangu hakuna pahala nilipoandika neno dezo, cjui ww umelitoa wapi!!?[emoji3][emoji3]
MTU akiumwa tunaenda kumsalimia na mchele kili 10 ,mafuta Lita 5,nyama kilo 6 maharage kilo 5 nyanya, vitunguu na viungo vya pilau [emoji39][emoji39][emoji39]Nakama tumekubaliana tuanze kesho maana mimi mwenyewe najihis homa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahha Watu Wataumwa Kila WikiMTU akiumwa tunaenda kumsalimia na mchele kili 10 ,mafuta Lita 5,nyama kilo 6 maharage kilo 5 nyanya, vitunguu na viungo vya pilau [emoji39][emoji39][emoji39]Nakama tumekubaliana tuanze kesho maana mimi mwenyewe najihis homa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MTU akiumwa tunaenda kumsalimia na mchele kili 10 ,mafuta Lita 5,nyama kilo 6 maharage kilo 5 nyanya, vitunguu na viungo vya pilau [emoji39][emoji39][emoji39]Nakama tumekubaliana tuanze kesho maana mimi mwenyewe najihis homa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenda huko ujinga wake yeye unatujumuishajeπππ...Na hawa ndo wanaume wetu wakitanzania...
[emoji23][emoji23][emoji23]...Na hawa ndo wanaume wetu wakitanzania...
Tusichukiane dada zetu...mnataka tusaidiwe na kina dada wa Yemen ama?Wanaume wakiafrika wanapenda dezo!
Sema wa Dar[emoji23][emoji23][emoji23]...Na hawa ndo wanaume wetu wakitanzania...
Nimekumiss mmVumilieni mshahara utaongezwa tuu, kabla hajatoka madarakani!