Hata mie mekumissNimekumiss mm
Ila kupika sio tabu?Mimi nataka mje tu kunisaidia kuosha vyombo, maana mabachela tunakwama sana suala la kuosha vyombo
Ndio hapo ni chap chap kabisaIla kupika sio tabu?
SawaHata mie mekumiss
Mh naumwa mmHata mie mekumiss
Oa mkuu...Upate msaidizi.Mimi nataka mje tu kunisaidia kuosha vyombo, maana mabachela tunakwama sana suala la kuosha vyombo
We mtu upoooSawa
Na mie naumwaMh naumwa mm
Hata mie mekumiss
Yaani mimi ndiyo hamnimiss kabisa kweli?Mh naumwa mm
Hilo jambo mtu ukiingia kichwa kichwa utaishia kujutia, ebu ngoja kwanza....Oa mkuu...Upate msaidizi.
Au unaogopa kusalitiwa mzee baba?
Nakumiss ujue le superstarYaani mimi ndiyo hamnimiss kabisa kweli?
Nimewakosea nini
Nipo hapa jumla jumla, naona wewe ndio upo haupoWe mtu upooo
MTU akiumwa tunaenda kumsalimia na mchele kili 10 ,mafuta Lita 5,nyama kilo 6 maharage kilo 5 nyanya, vitunguu na viungo vya pilau [emoji39][emoji39][emoji39]Nakama tumekubaliana tuanze kesho maana mimi mwenyewe najihis homa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila ukipika ukimaliza kula osha pale pale usisubiri viwe vingiNdio hapo ni chap chap kabisa
Mie nipo tuu jamaniNipo hapa jumla jumla, naona wewe ndio upo haupo
Hewalaa... haya niambie sasa tuanzie wapi?Nakumiss ujue le superstar
Naona unatoa ujuzi...Kila ukipika ukimaliza kula osha pale pale usisubiri viwe vingi
Tulipoishia ile siku jamaniHewalaa... haya niambie sasa tuanzie wapi?
Yaani ni kazi sana, nikiivisha tu naona nimetua mzigo, sina habari navyo tena hasa sufuria.Kila ukipika ukimaliza kula osha pale pale usisubiri viwe vingi