Jamani wanaJF me naomba tuanzishe mpango mmoja huu

Kabisa[emoji28]
Kuna siku ilikuwa weekend, nikanywa chai mida ya saa 5 asubuhi.

Baada ya hapo nikaanza kuchati humu JF ikafika saa tisa, nikaona uvivu kupika, nikaamua kwenda gengeni, kufika nikakuta menu imeisha.

Hapo hapo nikaeleke bandani kucheki mechi ya marudiano baina ya Simba na TP Mazembe, usiku nilipika fast maana mchana sikula huku nikipata advantage ya kusave bajeti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Na vyombo kama kawaida vikasahaulika baada ya kutibu njaa 😁
 
Back
Top Bottom