Jamani wananwake wengine tabu Tupu.

Kama amevumilia siku arobaini basi atavumilia siku saba.
 

You have said it all Semilong!


Ha!ha!ha!...umeshakosa experience za kusinzia kibaruani siku za mwanzoni.....!
 

Umesema kweli kabisa Semilong, kwani operation ni nini? Je kama mama yake angekuwa mbali angeenda wapi? si angebaki hapo kwake na mume wake na mtoto,wangapi tunawaona wanajifungua kwa operation na wanatunzwa vizuri tu na waume zao? Kwa mtazamo wangu hayo yote jamaa aliyataka,yeye angebaki na mke wake nyumbani walee mtoto apate experience hivi akikaa na wanaume wenzake wakaanza kuhadithiana jamani leo hatukulala mtoto alikua analia kweli yeye atahadithia nini?
 
Kwa jinsi nilvyoipitia iyo story.,Naona jamaa ana WIVU.Ushauri wangu jamaa awe na amani tu na kufikilia jinsi ya kutafuta pesa ya kumlea mtoto kwani kwa muda huu uyo mama sidhani kama anaweza fanya lolote..,cheatings"
 
Mianaume mingine tabu tupu sasa mkeo kakaa kwao siku 40 ulivumilia siku 7 zinakushinda? mkeo kakwambia alienda sokoni na mama mkwe pia alikwambia hivyo kabla sasa tatizo liko wapi? ndio maana utaona nyumba nyingi anafariki mume mama anabaki kwa waume kujipa pressure za ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…