Jamani wanapendeza!!yalaah!!!!!

Jamani wanapendeza!!yalaah!!!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619


wapendwa mkisehrekea sikukuu ya mmungwana napenda niwape pongezi zenu mnavyojitahidi kupigana na maisha kwa upendo na kushirikiana huku mkizitunza siri zenu moyni ...mnapendeza naomba tuwapongeze jamani nyc pic br
 
Gardner tunza toto hiyo maana ndo nguzo yako uzeeni
 
mungu walinde wamedumu kwa muda mrefu na hawasikilizi maneno ya watu, hongera kwa jide zaidi kwa kuwa mbunifu na kufanya kazi kwa bidii.
 
all the best,make ur wife to be ur best friend na utaona utamu wa ndoa
 
piga kazi sista jaydee ....!! ila pumzika uzae katoto plzz...! pesa unazo nyingi kwa sasa..!

NI USHAURI TU..!
 
all the best,make ur wife to be ur best friend na utaona utamu wa ndoa

You are right Golder.................. I cant imagine my marriage kama mume wangu asingekuwa my best friend!
 
Back
Top Bottom