Jamani Wanaume ninao ujumbe wetu hapa

mr mkwawa

Senior Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
145
Reaction score
293
Simu haina charge nikifika kama kuna umeme nitakupigia (umeliwa)

Naenda kumsalimia Shangazi sema kwake hakuna umeme (umeliwa)

Leo nawahi kulala kesho jumuia (umeliwa)

Unatumiwa good night saa moja usiku umeliwa)

Jana nilipitiwa na usingizi simu ilikua silent (Umeliwa)
 
Nilichogundua mapenzi na izo drama ni upotezaji wa mda,mapenzi ni kama utajiri na umasikini sio jambo la kila mtu ukijua haupo uko tafuna hizo mbususu na usepe tu hizo drama ni kwa watu wenye matatizo ya akili refer MAPENZI NI UGONJWA WA AKILI!!!
 
Asante kwa kututonya.
 
Yana umri wake hayo, ukishakufikisha zaidi ya 45, 47, 48.............50 na kiendelea wala hata huna muda nayo hayo, ni mwendo wa kupasua kichwa miradi yako uikazanie namna gani ili izidi kunenepa kwa faida hasa ya wale uliowaleta duniani
 
Yana umri wake hayo, ukishakufikisha zaidi ya 45, 47, 48.............50 na kiendelea wala hata huna muda nayo hayo, ni mwendo wa kupasua kichwa miradi yako uikazanie namna gani ili izidi kunenepa kwa faida hasa ya wale uliowaleta duniani
Basi uzi ufungwe tu sasa. Eti mtu ameenda kugawa mbususu yake huko kwa maamuzi yake mwenyewe kabisa wewe huku unahangaika; why? Hata kama ungemfungia ndani na funguo ukaondoka nazo kama ni wa kuchapwa nje atachapwa tu. Ukishavuka 40 tu huko unaanza kuona mambo haya kuwa ni utopolo tu na hayakupotezei muda tena....

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
 
Exactly!!

Ujanani kunakuwa na ujinga mwingi ambao ukikumbuka kwenye utu uzima unajiona ilikuwa ni ufala tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…