Jamani Wanaume ninao ujumbe wetu hapa

Jamani Wanaume ninao ujumbe wetu hapa

Siku nyingine usitumie neno JAMANI kama ni MWANAUME [emoji35][emoji35][emoji35]

Uwaambie na wenzako!!
 
Simu haina charge nikifika kama kuna umeme nitakupigia (umeliwa)

Naenda kumsalimia Shangazi sema kwake hakuna umeme (umeliwa)

Leo nawahi kulala kesho jumuia (umeliwa)

Unatumiwa good night saa moja usiku(umeliwa)

Jana nilipitiwa na usingizi simu ilikua silent (Umeliwa)
Mimi demu yeyote akinipa moja kati ya hii mistari namfuta kwenye contacts zangu na kumblock jumla
 
vijana tutafute hela na michongo yakupata ela hayo mambo s yakufatilia tutakufa mapema
 
Back
Top Bottom