Simu haina charge nikifika kama kuna umeme nitakupigia (umeliwa)
Naenda kumsalimia Shangazi sema kwake hakuna umeme (umeliwa)
Leo nawahi kulala kesho jumuia (umeliwa)
Unatumiwa good night saa moja usiku(umeliwa)
Jana nilipitiwa na usingizi simu ilikua silent (Umeliwa)