jamani wanaume tumekuwa adimu

Unanchekesha,toka lini bata akafundishwa kuogelea?
 
Last edited by a moderator:
Hapo Yugoslacia nilipita transit tu, Airport yao ukismile na wafanyakazi wao wanakufanyia discount ya cargo dola 2. Halaf ukivaa flana imeandikwa milosevic wanapunguza 2 nyengine. Wamejitaidi sana

We kloro,kwa nin unachat na kongosho,hujipendi?
 
Kumbe anaishi pale?

Next taimu ntambip kwa LiKe.
Nyani ngabu kapigwa PI,nasikia alirudi na klm,kushuka KIA akakosa nauli ya kuja dar,yuko arumeru anamalizia kurevyu kura wakati anajishinikiza kwa shangingi moja pale.
 
Network hazikamati ukimaanisha mboli hazisimami, siyo?

Na wanawake ambao ni wakavu huko chini je?

Ukavu wa mwanamke inategemea na maandalizi yako kwake, moto haujachangaya unataka kukimbilia gia no 5, hapo lazima uue engine.
 
kweli,Dawa ni kwamba wale wanawake wote wanaomiliki wanaume zaid ya mmoja inabidi wawaachie na wenzao wasiokuwa nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…