Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatumia resechi hii inajumuisha nazaria na vitendo, hata hivi karibuni nilikuwa na mpango wa kuelekea china kutathmini wanawake wa siku hizi kwanini maziwa hayatoki mazito wakati wa kunyonyesha lakini wachina wameninyima viza bank statement nilotumia wamesema haina hela za kutosha.
wanakuongelea wewe na unungayembe wako,nikutafutie mme fasta?
Hapo Yugoslacia nilipita transit tu, Airport yao ukismile na wafanyakazi wao wanakufanyia discount ya cargo dola 2. Halaf ukivaa flana imeandikwa milosevic wanapunguza 2 nyengine. Wamejitaidi sanaYugoslacia napo wana hizo risechi
tena wao wanaruhusu uende na sampo zako za kufanyia vitendo.
yaani unafanya subdivision ya penzi? hayo ndo maujanja konnie!
Hapo Yugoslacia nilipita transit tu, Airport yao ukismile na wafanyakazi wao wanakufanyia discount ya cargo dola 2. Halaf ukivaa flana imeandikwa milosevic wanapunguza 2 nyengine. Wamejitaidi sana
Haukuonana na Nyani ngabu?mie pale niliishi ila sikupapenda saana.
Kemistri ya hewa ya pale ni (KMn4) potashiam pamanganeti badala ya H2O.
adimu kama viazi ulaya wengi ni magumegume sio wa kiume
Haukuonana na Nyani ngabu?
subiri siku ukifumaniwa ndo utajua kwa nini punda alipewa mlio akanyimwa pembe!