jamani wanaume tumekuwa adimu

jamani wanaume tumekuwa adimu

Yugoslacia napo wana hizo risechi
tena wao wanaruhusu uende na sampo zako za kufanyia vitendo.

Tunatumia resechi hii inajumuisha nazaria na vitendo, hata hivi karibuni nilikuwa na mpango wa kuelekea china kutathmini wanawake wa siku hizi kwanini maziwa hayatoki mazito wakati wa kunyonyesha lakini wachina wameninyima viza bank statement nilotumia wamesema haina hela za kutosha.
 
Nina nyumba ndogo afu zote zimefulia.

Haziwezi niacha kwa mkwanja nilionao.
Ntaanza kukunyima hela ya heinken.
yaani unafanya subdivision ya penzi? hayo ndo maujanja konnie!
 
Yugoslacia napo wana hizo risechi
tena wao wanaruhusu uende na sampo zako za kufanyia vitendo.
Hapo Yugoslacia nilipita transit tu, Airport yao ukismile na wafanyakazi wao wanakufanyia discount ya cargo dola 2. Halaf ukivaa flana imeandikwa milosevic wanapunguza 2 nyengine. Wamejitaidi sana
 
he he he he he he he da ngoja nifanye uchunguzi kwanza kama kweli tupo wachache kabla ya kusema lolote...
 
mie pale niliishi ila sikupapenda saana.

Kemistri ya hewa ya pale ni (KMn4) potashiam pamanganeti badala ya H2O.

Hapo Yugoslacia nilipita transit tu, Airport yao ukismile na wafanyakazi wao wanakufanyia discount ya cargo dola 2. Halaf ukivaa flana imeandikwa milosevic wanapunguza 2 nyengine. Wamejitaidi sana
 
Ni wakati wa kumiliki wanawake wengi tani yako.
 
Miaka ya 70 Mwanamke hatembei usiku leo sijui wanawake ni wababe au hili gonjwa. Hawaguswi hata kumsindikiza kwa macho au kumtongoza. Kweli wanaume adimu
 
Swala sio wingi wa wanawake au uchache wa wanaume. Ni kweli idadi ya wanawake duniani ni kubwa ukilinganisha na wanaume watu wanaume wengi tu hawana wake hivyo inabidi wote waoe ndipo tuseme wanaume wameadimika, kwenye upande wa umalaya hapo ndipo utakapoona wanaume wameadimika
 
Bishanga, ha ha ha, unadhani mie muoga kama wewe?

Afu nina mbinu mbadala za kufa mtu.

Ngoja nikupe hizi 2

usiende gest yeyote chagua kama 9, ambazo wahudumu wanakuwa marafiki

hakikisha chumba unachochukua madirisha yanaruhusu kupita na kusepa.

Hakikisha chumba unachochukua sehemu ya dari inaruhusu kupita na kutokea resepsheni juu kwa juu.

Ntakupa zingine badae.

subiri siku ukifumaniwa ndo utajua kwa nini punda alipewa mlio akanyimwa pembe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom