Jamani, wanavutia haaaaoooo!!!!!!!!

Jamani, wanavutia haaaaoooo!!!!!!!!

NewDawnTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,667
Reaction score
362
:hungry:

Mmewaonaaaa!!!!!!!!!!!!! WANAPENDEDHAaaaa, HAWAPENDEDHI!!!!!??

JK & Co..jpg
 
Hawa jamaa ni ma-hendi thamu, ila huyu wa chini hapa Mmhhhh!!!!!!!!
 
Hatutaki mahendthamu, hatupo kuchumbia hapa tunataka wachapa kazi wenye uchungu na inji hii Bana!!
 
we vipi??

tunataka watu walio na uchungu na nchi yetu pamoja na rasilimali tulizonazi,,,
hatuangalii sura,,,,

heeee!
 
Nafikiri unataka nifungiwe JF,basi nafunga mdomo wangu kwa leo!!
 
ndo maana Kikwete alisema kunaudini! NIMEELEWA SASA KUMBEEE WOOTE NYINYI NI ........... AAAAH TUKITAFUTA KWA PERCENT HAPO!!
I am only Joking!

Henge angalia jicho lako bana!!! Me nimeweka tu kwa thababu nimependa thura zao.
 
Nafikiri unataka nifungiwe JF,basi nafunga mdomo wangu kwa leo!!

Pole mkuu, najua uchungu wa uwajibikaji.

Ila wanapendedha kwenye kuudha thura!!!! Uchapa kadhi dooo!!!!
 
kuuza sura? Makamba nae? Msura ka plastic liloungua moto?

Hashy, hapo mzee ndo kajitahidi mbaya, si unacheki hadi na katabasamu. POZI LA PICHA HILO, sipati picha ukampiga picha hajatabasamu.

Halafu hii mikunjo ya uso naiona imepitiliza mpaka kwenye damu na moyo maana mzee anagubu huyu, utafikiri nyumba ndogo iliyonyimwa matumizi
 
hashy, hapo mzee ndo kajitahidi mbaya, si unacheki hadi na katabasamu. Pozi la picha hilo, sipati picha ukampiga picha hajatabasamu.

Halafu hii mikunjo ya uso naiona imepitiliza mpaka kwenye damu na moyo maana mzee anagubu huyu, utafikiri nyumba ndogo iliyonyimwa matumizi

huyu mdingi si haba mchawi!
 
"Inside my short...lies the real meaning of love!!!!!!!!!!!!".

It has to be read, "inside your heart ...... lies true meaning unpatriotic demeanors".
 
Henge angalia jicho lako bana!!! Me nimeweka tu kwa thababu nimependa thura zao.
mkuu kwahiyo jamaa wanauza sura eeeh!
mimi nilidhani umeiweka tuone na kuijadili kwa uelewa wetu mkuu!
 
Kikwete, mhhhh no comment kwa sasa hadi aondoke madarakani ndiyo ntasiliba...............

Pius Msekwa, alimnyang'anya Mzee Kawawa Mwanamke (Anna Abdallah.......)

Karume ni Mlevi hadi Bi Kidude kamuimba "Ahmada acha ulevi....."

Yusufu Makamba alibaka Mwanafunzi wakati akiwa Mwalimu huko kijijini kwao Zitto (Mwandiga??)

Wote wanaunganishwa na dini moja iitwayo PESA.
 
S .No more comment
 
Minor correction please.....Dini moja inayoitwa CCM, Imani moja inayoitwa PESA na kilevi kimoja kinachoitwa MADARAKA
 
mkuu kwahiyo jamaa wanauza sura eeeh!
mimi nilidhani umeiweka tuone na kuijadili kwa uelewa wetu mkuu!

Uko alright mkuu...nlikuwa najitahidi tu kukuweka sawa jicho lisije likakuponza nikakupoteza JF baada ya Mode na Invisible kukushushia rungu
 
Back
Top Bottom