Jamani wanawake: Mbona mnatudhalilisha wanaume hivyoo!

Hahahaha!nimempendaje huyo dada!japo Ndyoko unahic ni udhalilishaji but hiyo ni mojawapo ya kumjua jamaa km anapiga kazi za nje hasa akiwa safari!na wanawake wengi waliowahi kupata mafunzo au hata kuckia mtu akifundwa huwa wanapewa na teknic mbali mbali za kuwagundua sema wengi huwa hawapendi kujipa strec wanapotezea tu!kwa taarifa yenu huwa mnajichoresha sn mnapokuja na mshawasha wa kujidai mmemic hiyo kiku kumbe mwenzio keshajua janja yako anakutizama tu,pole zake aache game za nje mdada mjanja huyo lol
Google
 
Najua wengi mnacheka mnaona kama hadithi lakini mimi ni shuhuda na bado hadi kesho ni victim wa huu upekuzi.
 
Nampa hongera huyo dada alifundwa na kufundika, acheni kukumbatia vichochoroni.
 
dah!!kamaa mkee wakee anaitajii manii nyingi,ampikie vyakulaa vyenye kuongeza manii,chizzzz,mayonaizz,maziwaaa,walaiii wengine tuki pigaa tuka mwagaa njeee...kikombe kidogo cha kahawa kina jaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Najua wengi mnacheka mnaona kama hadithi lakini mimi ni shuhuda na bado hadi kesho ni victim wa huu upekuzi.

heri wewe umesema kuna watu pengine coz of udogo wao huwa hawajui mambo mengi na wakisikia huishia kutoamini
 
Hahahaha!nimempendaje huyo dada!japo Ndyoko unahic ni udhalilishaji but hiyo ni mojawapo ya kumjua jamaa km anapiga kazi za nje hasa akiwa safari!na wanawake wengi waliowahi kupata mafunzo au hata kuckia mtu akifundwa huwa wanapewa na teknic mbali mbali za kuwagundua sema wengi huwa hawapendi kujipa strec wanapotezea tu!kwa taarifa yenu huwa mnajichoresha sn mnapokuja na mshawasha wa kujidai mmemic hiyo kiku kumbe mwenzio keshajua janja yako anakutizama tu,pole zake aache game za nje mdada mjanja huyo lol
Google

yaani nyie kina dada huwa mnaona rahaaaaaaaaaaa, mwanaume anavyoonewa!
 
Back
Top Bottom