Jamani wandugu nisaidien


Hawezi kuchafua jina lake wewee!
 
Fanya maamuz sahh,hpe u can thnk grt..know what u want and then go for it.!!
 
Give unto Caesar What belongs to Caesar! Its up to you choose.
 
Kwan ulikutana nao wote wawili kwa mara moja? Ulitafuta wa pili baada ya kuona wa kwanza hakutoshi, so kwanini usiendelee nao wote wawili!! HAlafu unasema wote wawili wanakupenda, sasa kwani wewe unampenda zaidi yupi? kama unawapenda wote sawa basi chukua wote weka ndani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…