Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809
huo ni ushauri mzuri sanawaambie nimeamua kumfwata cameroon pls niachen tafadhali atakae endeleea kukungania huyo nenda nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo ni ushauri mzuri sanawaambie nimeamua kumfwata cameroon pls niachen tafadhali atakae endeleea kukungania huyo nenda nae
Kila jambo lina gharama zake. Zipo gharama zinazoweza kubebeka, na zipo zisizobebeka. Kama unaona kumwacha mmoja utakuwa haujatenda haki, ilitakiwa wazo hilo uwe nalo kabla haujamtongoza huyo mwingine, so mm nakushauri kubali kuonekana mbaya kwa wote halafu nenda kajichukulie kifaa kingine mbali na hapo ili kulinda heshima yako, or subiri wajuane ili uchafue zaidi jina lako.