jamani wandugu!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,483
Reaction score
3,369
Mi mgeni wenu wajameni!

Mambo ya FB nimeyaweka pembeni na nimekuja humu kwa maamuzi yangu ya kujenga Nchi yangu kwa Moyo mkunjufu!

Naombeni mnipokee na kunirekebisha pale nitakapokosea!

Asanteni!
 
Kha ha ha ha ha ha ha haaaa!

Hapo juu ni maneno atakayokuja nayo Best wangu mmoja ambaye nimemhimisa ajongee humu na kutemana na mambo ya Facebook na hakika amenikubalina hata hajaamini JF ni mtandao wa kijamii kiasi hiki!

Karibu sana S/K
 
Sawa Mkuu LIVEPOOLFC. Tumemuona.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…