LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Mi mgeni wenu wajameni!
Mambo ya FB nimeyaweka pembeni na nimekuja humu kwa maamuzi yangu ya kujenga Nchi yangu kwa Moyo mkunjufu!
Naombeni mnipokee na kunirekebisha pale nitakapokosea!
Asanteni!