Jamani wanofuatilia bgt mmeona wanawake wa kitanzania hayo mauno ?????

Jamani wanofuatilia bgt mmeona wanawake wa kitanzania hayo mauno ?????

UKI

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
691
Reaction score
173
Nilikuwa naangalia BGT (british Got Talent) mashindano haya ni mahususi kwa waingereza kutafuta kipaji chochote ulichonacho iwe kuimba,dancing, kucheza na mbwa na kila kitu unachokijua,(mwaka jana mbwa ndio alishinda jinsi anavyochezeshwa mziki na kufualitia kwa vitendo) Leo nimeshangaa nimeona wamama wawili wamejitokeza wanajiita Tanzshake wanaishi uingereza wanatokea Tanzania wanasema wanavipaji vya kukata mauno! wameserebuka ile mbaya,mwenye show hii ni simon cowel mzee wa X factor amewakubali wamepita kwenye round ya kwanza wanaenda round ya pili mshindi atapata £500,000 kama tsh 1,275,000,000/= ila kushinda hawawezi kushinda ingawa wameshajulikana maana kwenye page yao ni full gumzo hayo mauno ya watoto wa kimatumbi,
 
Mbona unatoa hukumu kabla ya majaji?
mkuu nilivyongalia kuna watu wanavipaji zaidi ya hao so kwa mtazamo wa haraka hawawezi kushinda kabisa sio nawakatisha tamaa huo ni ukweli maana hata kuna wadada flan origin Nigeria wanacheza zaidi yao. ni mtazamo wangu lakini
 
Back
Top Bottom