Jamani watangazaji wetu kipimo cha umeme kwenye grid ya taifa ni megawatt siyo megabyte!

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Tangu jana nawasikia mkisoma habari fulani kuhusu umeme na kusoma kama megabyte badala ya megawatt. Megabyte ni kipimo cha data za Internet kama hilo bando unalonunua na kifupi chake ndio Mb.
 
Elimu muhimu sana. Bahati mbaya nao hawapendi kusoma majarida na vitabu
 
Daah wangeangalia tu matangazo ya Tanesco na megawatts kila kukicha ambazo hazipo..
 
Tangu jana nawasikia mkisoma habari fulani kuhusu umeme na kusoma kama megabyte badala ya megawatt. Megabyte ni kipimo cha data za Internet kama hilo bando unalonunua na kifupi chake ndio Mb.
Kuna wale wanaoandika mW (milliwatts) badala ya MW (Megawatts)
 
Back
Top Bottom