Jamani watu bado wanasota na Selection za Chuo

Aliomba ambacho hakijui au ni Utovu wa Nidhamu wa kijana mwenzio wa form 6,,,jitahidini muwe mnapevuka na Akili,,,Mbona mademu mnaselekti poa Tu,,,,miziki,,,mavazi nk,,kwanini mshindwe seleksheni za mambo ya msingi zaidi ya shule
HAPO ndo shida
 
Mtu akiomba ushauri afu ukimjibu hv itabidi ukae nae chini uumpe ushauri ili apoe kutokana na haya maneno afu tena ndio umpe ushauri la tatizo lake.
 
Kozi yeyote ikiwa pamoja na education achague hiyo kozi nyingine ambayo siyo education,Kama unataka akajue majina ya saccoss zote achague education
 
Back
Top Bottom