Hamkawii kusema Magu kakaza vyumaSasa mtu amekwisha bet unataka akafanye kazi gani tena zaidi ya kuusubiri mkeka wake uchanike
Mimi sio mkazi wa dar arifHamkawii kusema Magu kakaza vyuma
Hawawezi kuwepo humu si unajua tena JF kila mtu kastaarabika, elimu kubwa, hafwatilii maisha ya wengine nk. πNimewaza tu hivi na humu kutakuwa na walioandamana kweli. Teh.
Wewe unaeenda kushangilia na kurukaruka kwenye mikutano ya JIWE huna kazi ya kufanya ?Hamkawii kusema Magu kakaza vyuma
Mtani umeua. ππHawawezi kuwepo humu si unajua tena JF kila mtu kastaarabika, elimu kubwa, hafwatilii maisha ya wengine nk. π
Nasikia kulikuwa na ugawaji wa pampasi bure, kwa jinsi wanaume wa daslam wanavyopenda kuolewa basi wameenda kujipatia pampasi za bureKama wanaume wadar wenyewe ndio hawa unategemea nini!??
Khe khe khe khe khe khe. Hapa umenenaSasa mtu amekwisha bet unataka akafanye kazi gani tena zaidi ya kuusubiri mkeka wake uchanike
Hawawezi kukosekanaNimewaza tu hivi na humu kutakuwa na walioandamana kweli. Teh.
[emoji3][emoji3][emoji3] babyKama wanaume wadar wenyewe ndio hawa unategemea nini!??
Ooh. Ngoja niwasubirie waje waseme kama ni kweli hawakuwa na kazi ya kufanya mpaka wakaandamana.Hawawezi kukosekana
Na huyu eti unaweza ni member hapa jf alafu tunamuheshimu[emoji3][emoji3][emoji3] baby
[emoji3][emoji3][emoji3] hatari sanaNa huyu eti unaweza ni member hapa jf alafu tunamuheshimu