Jamani watu Wa Dar hamna kazi ya kufanya

Jamani watu Wa Dar hamna kazi ya kufanya

Equipment

Senior Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
187
Reaction score
168
Sorry Sana kwa wale ntakao wagusa leo nilikua napitia video huko YouTube nikakutana na video moja ikimuonyesha ZARI akiwa anasubiriwa na maandamano ya watu eneo la mlimani City chaajabu ni Kwamba hata wanaume walikua miongoni mwao waliokuwa wakimngoja Kwa kwel sio tabia nzuri fanyeni vitu vya maana
 
Kitendo cha wewe kufuatilia habari za wanaume Wa dar pia kina ulakini....
 
Wanaume wa mikoani kushangaa shangaa mtaacha lini? Huo ni ushamba kama umeona kitu kwa hapa Dar unapotezea tu.vp umeshakwenda na ferry kushangaa meri zinaelea shilingi inazama?
 
Kama wanaume wadar wenyewe ndio hawa unategemea nini!??
 

Attachments

  • IMG-20190503-WA0001.jpg
    IMG-20190503-WA0001.jpg
    37.5 KB · Views: 27
Kama wanaume wadar wenyewe ndio hawa unategemea nini!??
Nasikia kulikuwa na ugawaji wa pampasi bure, kwa jinsi wanaume wa daslam wanavyopenda kuolewa basi wameenda kujipatia pampasi za bure
 
Back
Top Bottom