Jamani wenzangu wa Tecno Amkeni

Jamani wenzangu wa Tecno Amkeni

jannelle

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
824
Reaction score
1,581
Tumesemwa sana kuhusu Tecno zetu aisee, hatimae Phantom x,ameanza kuokoa jahazi[emoji108]...

This week naenda utafuta,nionje utamu wake maana nimeiona tu kwa bestie...

Picha kaliiii, screen tam curved

See Attached
 
[emoji419]View attachment 1848459
gsmarena_001.jpg
View attachment 1848460
 
Sikuhizi mediatek hello imeshika hatamu hata wababe kina samsung wnaangukia huko. Japo waziita simu hizo low end.. Sijui mid range n.k
 
Sikuhizi mediatek hello imeshika hatamu hata wababe kina samsung wnaangukia huko. Japo waziita simu hizo low end.. Sijui mid range n.k
Umeona eeh[emoji23]
Watakuja tu,ni suala la mudaaa.
 
Hivi Tecno ni simu au kibebea line!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Tumesemwa sana kuhusu Tecno zetu aisee, hatimae Phantom x,ameanza kuokoa jahazi[emoji108]...
This week naenda utafuta,nionje utamu wake maana nimeiona tu kwa bestie...
Picha kaliiii, screen tam curved
See Attached
Heee kumbe.
Tumeamka
 
Back
Top Bottom