Jamani wenzangu wa Tecno Amkeni

Jamani wenzangu wa Tecno Amkeni

Hivi Tecno ni simu au kibebea line!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Usiangalie Jina tu, lakini hiyo simu nzuri wamejitahidi
 
Natumia TECNO

Lakin kununua TECNO zaidi ya laki 3 ni matumizi mabovu ya pesa
 
Usiangalie Jina tu, lakini hiyo simu nzuri wamejitahidi
Simu ni chache sana duniani sisi wengine tunatumia vibebea line! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom