Jamani wherever you are lolyz anakushukuru!

Jamani wherever you are lolyz anakushukuru!

hongera
mimi ili niamini umethamini mchango wangu wa mawazo kwako
uni pm na mabusu ya thanx ..lol
ndo nitaamini...lol
Duh!!! Howz your Friday treating you how about we hit at the Massage Parlour to refreshin up and we can't get the weekend started i know you cant resist the opportunity lol!!!
 
Akibadilika tena niPM, sisi wengine hatuwez kuona kinamama wanadhalilishwa halaf tukakaa kimya.

Mood: Nimeongea kwa hasira kweli
 
Endelea kufanya hivyo kila siku na usirudi nyuma katika kuomba na kumshukuru Mungu kumbadilisha mpendwa wako
Mr Rocky nakuhakikishia nitafanya kama ulivyonishauri na sitegemei kuacha maombi kwani najua na kutambua nguvu iliyopo katika kuomba ..Asante sana kwa kunicctizia kaka.
 
Duh!!! Howz your Friday treating you how about we hit at the Massage Parlour to refreshin up and we can't get the weekend started i know you cant resist the opportunity lol!!!

location location....parlour ya wapi aisee......????????
 
hongera
mimi ili niamini umethamini mchango wangu wa mawazo kwako
uni pm na mabusu ya thanx ..lol
ndo nitaamini...lol

haahaa haaa The boss bana..chukua hiyo kwanza ..A Kid On His Way 2 Home With His Mom Saw A Couple Kissing On The Road,
He Suddenly Shouted & Said: Look Mom look, that boy and girl Are Fighting For A Chewing GUM !
 
Nafurahi kusikia hiyo. Kila la kheri,kumbuka kwenye mahusiano utapata kile utakachoruhusu kupatiwa.keep praying,hata milango ya baraka ifunguke yote
 
Nafurahi kusikia hiyo. Kila la kheri,kumbuka kwenye mahusiano utapata kile utakachoruhusu kupatiwa.keep praying,hata milango ya baraka ifunguke yote

Amen King'asti nashukuru mamito!
 
hongera, life continous and forget about the past, wish u a happy life all the time.
 
lakini uache tabia ile ya kulala na night dress.

toka nikufahamu leo ndo umeongea la maana...lol
muwe mnashaurianakama hivi aisee....sio mtu anapanda kitandani na skin tight
halafu tukitafuta nyumba ndogo,ugomvi lol
 
Back
Top Bottom