The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Duh!!! Howz your Friday treating you how about we hit at the Massage Parlour to refreshin up and we can't get the weekend started i know you cant resist the opportunity lol!!!hongera
mimi ili niamini umethamini mchango wangu wa mawazo kwako
uni pm na mabusu ya thanx ..lol
ndo nitaamini...lol
Mr Rocky nakuhakikishia nitafanya kama ulivyonishauri na sitegemei kuacha maombi kwani najua na kutambua nguvu iliyopo katika kuomba ..Asante sana kwa kunicctizia kaka.Endelea kufanya hivyo kila siku na usirudi nyuma katika kuomba na kumshukuru Mungu kumbadilisha mpendwa wako
Akibadilika tena niPM, sisi wengine hatuwez kuona kinamama wanadhalilishwa halaf tukakaa kimya.
Mood: Nimeongea kwa hasira kweli
Duh!!! Howz your Friday treating you how about we hit at the Massage Parlour to refreshin up and we can't get the weekend started i know you cant resist the opportunity lol!!!
lol.......nahisi 'nimekuelewa hasira zako' peke yangu aisee lol
hongera
mimi ili niamini umethamini mchango wangu wa mawazo kwako
uni pm na mabusu ya thanx ..lol
ndo nitaamini...lol
Mikocheni kule na wafilipino wengilocation location....parlour ya wapi aisee......????????
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-mume-wangu-hataki-kubadilika.html?highlight=Umenitia moyo sana..........mod kwa kujikumbusha tuunganishieni huo uzi hapa ili tusiojuwa kilichojiri tujifunze
Nafurahi kusikia hiyo. Kila la kheri,kumbuka kwenye mahusiano utapata kile utakachoruhusu kupatiwa.keep praying,hata milango ya baraka ifunguke yote
Dah! Kiswahili ni lugha pana sana aisee!
Amen King'asti.
lakini uache tabia ile ya kulala na night dress.
lakini uache tabia ile ya kulala na night dress.