Jamanie hii ni kawaida au nini?

Jamanie hii ni kawaida au nini?

ENT

Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
34
Reaction score
2
Kila siku naamka asubuhi uume wangu umesimama(imedinda) na kukuta uute umetoka umelowanisha nguo kiasi je hili nitatizo? niwekeni sawa najua humu madoctor wengi
 
Daah... Hili ni swali la kisumbufu,Mods clear hii kitu full utoto
 
asubuh ni mda wa kuamka , kwa hiyyo dudu yako nayo inakuwa imetoka usingizini mda huo...kama inakukera ifungie chuma kizito ili hisiamke!!
 
asubuh ni mda wa kuamka , kwa hiyyo dudu yako nayo inakuwa imetoka usingizini mda huo...kama inakukera ifungie chuma kizito ili hisiamke!!

Hahahahaha dah! Uniuwa dudu chuma zito duhh!
 
Nawe pia mkuu wish u happy Easter

Thanks.
Ila usiwe unauliza maswali kama haya bhasi...mwanaume uliyekamilika na mwenye nguvu huumwi afya iko safi ukiamka lazima jogoo apige saluti.
 
Thanks.
Ila usiwe unauliza maswali kama haya bhasi...mwanaume uliyekamilika na mwenye nguvu huumwi afya iko safi ukiamka lazima jogoo apige saluti.

Thanks sana mimi nilifikiri nimatatizo ndo maana nikauliza mkuu ila kama niko poa nashukuru
 
ndio una tatizo, huo ute ni majimaji yenye acid, unachotakiwa ni kwenda kuukata huo uume, halafu urudi tena.
 
Back
Top Bottom