jamaniii nitapataje mzungu?

jamaniii nitapataje mzungu?

hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe stick-thin kama baadhi ya wake wa wazungu......?nikikosa mzungu niko tayari kusettle down na mweusi mwenzangu so kama wewe ni mkaka then handsome holaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa at yo girl...........................:mwaaah::shut-mouth:

Nasikia hawa jmaa bila Tigo hakieleweki. Aaaaaaaaaaaaa youuuuuuuuuuuu.................... reeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeedy????????????..... sema nikupe pa kuanzia.
 
hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe stick-thin kama baadhi ya wake wa wazungu......?nikikosa mzungu niko tayari kusettle down na mweusi mwenzangu so kama wewe ni mkaka then handsome holaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa at yo girl...........................:mwaaah::shut-mouth:
my love me handsome boy and hometown kasulu kigoma
 
hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe stick-thin kama baadhi ya wake wa wazungu......?nikikosa mzungu niko tayari kusettle down na mweusi mwenzangu so kama wewe ni mkaka then handsome holaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa at yo girl...........................:mwaaah::shut-mouth:

wee sister unanichekesha sana,mzungu wa nini na waafrica wamejaa kibao??unataka hela za bure??
 
hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe stick-thin kama baadhi ya wake wa wazungu......?nikikosa mzungu niko tayari kusettle down na mweusi mwenzangu so kama wewe ni mkaka then handsome holaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa at yo girl...........................:mwaaah::shut-mouth:

husiangaike we cheki na mm nitakufaa hutajutia milele!
 
Aise noma, njoo mie nami na mchiz wangu muitaly anatafut demu wa kibongo ila uwe tayari kuishi sudan ya kusin. Sema ukoje nikuunganishe nae
 
mie ni mzungu....sio kwamba sisi hatutaki wadada weusi, tuna wahitaji saaaan coz wana baadhi ya vitu ambavvyo wadada wa kizungu hawana one of them ni maumbo yenu, it has nothing to do na unene ila figure za kiafrica mmmh! zinavutia, nadhani tu wewe huja mix fresh na hao wazungu wa huko kwenu, try yourbest mix nao then uone results, may be we mzuri sana wanakuogopa...!

Mzungu mweusiiii wewe?

Au kwa sababu umelala na demu mzungu unajiita mzungu?

My take:
Pauline kuna jamaa aliniambia sometym watu huenda out of their minds ,hasa ukiwa ughaibuni.nadhani you are out of your senses.

Ili kuenjoy vyote chukua chotara ,ndiye mimi.
Nipm next vacation Nitakufuata ulipo.
 
mbona ulimkubali sasaaaaaa au hukujua atakuwa nalo?:becky::becky::becky: mie govi halitanisumbua nasikia kny majamboziii akilivuta akamtoa nyoka pangoni anakuwa wa motooooooooooooooooooooo kama mgonjwa wa homa:becky:

JF inageuka U turn ! Mmmmh hold on girls can we talk about dis in girls' out tukiwa na glasses za wine n sexy dresses!
 
mbona ulimkubali sasaaaaaa au hukujua atakuwa nalo?:becky::becky::becky: mie govi halitanisumbua nasikia kny majamboziii akilivuta akamtoa nyoka pangoni anakuwa wa motooooooooooooooooooooo kama mgonjwa wa homa:becky:

Ama kweli una expeerince na hiyo kitu........Jitahidi uende club za huko uliko, unaweza ukabahatika kumpata mmoja. Ila wadada mna kazi saana. Nakumbuka nilikuwa nasoma nchi moja hv ya baridi saana, nilipoenda nikakutna na MTZ mdada kabanwa kweli na mambo fulani, by the way nilimshtukia mapema.

Aliniambia kuwa ana kama miezi miwili hv, kila akijaribu kutafuta m/me wa kizungu anashindwa. Kidume nilipoenda kama kawa nikachakachua mzigo fasta ila kumsitiri MTZ mwenzangu..........

so kazi kwako kwa mijanaume ya kizungu ni kazi ngumu ila jitahidi.....
 
Back
Top Bottom