mzee wa mazabe
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 843
- 627
Hivi kwanini wasiruhusu ile stand ya Jamatini itumike maana pale ni rahisi kuelekea kokoteKatambi ashughulikie hilo
Mkuu tatizo ni mudaDodoma ya watanzania...
Miumdombinu inajengwa.. usihofu.
acheni majungu ,jiji limetulia kabisa jiji la kisasa makao makuu ya nchi yetu pendwa
Mkuu unadhani majungu labda uwe kipofu maana lile eneo ambalo ilikuwa stand ya daladala si lipo wazi kama imeshindikana basi tuwape hata boda boda/Tax wawe wanapaki jiji lipate mapato lakini si kwa kukaa bila activity.acheni majungu ,jiji limetulia kabisa jiji la kisasa makao makuu ya nchi yetu pendwa
karibu chato uwekeze mkuu,upepo umehamia huku achana na kina ndu gay huko kwa wagogoMkuu unadhani majungu labda uwe kipofu maana lile eneo ambalo ilikuwa stand ya daladala si lipo wazi kama imeshindikana basi tuwape hata boda boda/Tax wawe wanapaki jiji lipate mapato lakini si kwa kukaa bila activity.
Katambi ashughulikie hilo
Umesema UKWELI kabisa. Ramani ya SGR imeishabadilika. Ni vizuri tuangalie maamuzi yaliyofanywa huko nyuma kuhusu maeneo haya hasa stand ya daladala.Mkuu unadhani majungu labda uwe kipofu maana lile eneo ambalo ilikuwa stand ya daladala si lipo wazi kama imeshindikana basi tuwape hata boda boda/Tax wawe wanapaki jiji lipate mapato lakini si kwa kukaa bila activity.
tehe tehe tehe tehe,nitakuja mkuu.karibu chato uwekeze mkuu,upepo umehamia huku achana na kina ndu gay huko kwa wagogo
Nimeakuelewa mkuu,na kweli siyo kila Homa ni Malaria zingine ni Dengue😀😀Tangu 2004 Napajua Hapo Kama Stand Ya Daladala
Toka Veyula Wakati Huo, Sasa Zama Zimebadilika Siyo Kila Homa Ni Malaria Ndiyo
Mkurugenzi wa jiji ndiye tatizo. Lile ni eneo la shirika la Reli, lakini uongozi wa jiji unataka kuchukua mapato yote bila shirika la Reli kupewa chochote kama wamiliki wa eneo. Wewe ungekubali kuachia mapato toka kwenye eneo lako?!Habari ya siku nyingi sana wanajamvi wenzangu,nimepita hapa Dodoma kikazi kiukweli sijaelewa mji mzuri kama huu unakosa stendi ya Dala dala,katika kuuliza nikaambiwa pale jamatini ndipo dala dala zote zilikuwa zinaishia pale lakini tatizo ni moja kuna watu wawili wanatunishiana misuri ambao ni Mkurugenzi wa Jiji na Boss mmoja wa Railway,kiukweli watu wanateseka kwa ujinga wa watu hawa(Tasisi hizi mbili)badala ya kufikilia maendeleo ya jiji la Dodoma wao wanafilia mambo yao,inakuwaje stendi ipo tayari na kila kitu kipo lakini haitumiki?naamini watu wa Dodoma watakuja hapa kutujuza vizuri.
Kama ndivyo hivyo kwanini wenye mamlaka wasilichukue wabadilishe matumizi ya eneo,mbona kwenye mashamba tunaona wanayachukua wanabadilisha matumizi na umiliki?!!Mkurugenzi wa jiji ndiye tatizo. Lile ni eneo la shirika la Reli, lakini uongozi wa jiji unataka kuchukua mapato yote bila shirika la Reli kupewa chochote kama wamiliki wa eneo. Wewe ungekubali kuachia mapato toka kwenye eneo lako?!
UziHabari ya siku nyingi sana wanajamvi wenzangu,nimepita hapa Dodoma kikazi kiukweli sijaelewa mji mzuri kama huu unakosa stendi ya Dala dala,katika kuuliza nikaambiwa pale jamatini ndipo dala dala zote zilikuwa zinaishia pale lakini tatizo ni moja kuna watu wawili wanatunishiana misuri ambao ni Mkurugenzi wa Jiji na Boss mmoja wa Railway,kiukweli watu wanateseka kwa ujinga wa watu hawa(Tasisi hizi mbili)badala ya kufikilia maendeleo ya jiji la Dodoma wao wanafilia mambo yao,inakuwaje stendi ipo tayari na kila kitu kipo lakini haitumiki?naamini watu wa Dodoma watakuja hapa kutujuza vizuri.
Watu kila siku wanavunjiwa majumba yao kwa kujenga sehemu kimakosa, wewe unasema wabadilishe matumizi.Jiji hawakujua kuwa hilo halikuwa eneo lao? Kama ni stendi ipo sabasaba, a walking distance from Jamatini. Sidhani kama jiji hawana fedha kuboresha stendi hiyo.Kama ndivyo hivyo kwanini wenye mamlaka wasilichukue wabadilishe matumizi ya eneo,mbona kwenye mashamba tunaona wanayachukua wanabadilisha matumizi na umiliki?!!
Hapo saba saba nilifika yaani nikashangaa sana kama kuna watu wapo ofisini wanazunguka zunguka na viti wakisema pale ndiyo stand ya daladala,Mhe Rais Daktari John Pombe Mgufuri anajitaidi sana kwenye maendeleo ya wananchi lakini nadhani wasaidizi wake awamuelewi anataka Tanzania ya aina gani,saba saba kuna vumbi ukishuka utadhani sijui unatoka kijiji gani au umefika kijiji gani,kwa mtazamo wangu sidhani kama Mhe.Rais anajua hii shida na kwakuwa vijana wake uwa wanapita pita sana uku wajaribu kumwambia kwakweliWatu kila siku wanavunjiwa majumba yao kwa kujenga sehemu kimakosa, wewe unasema wabadilishe matumizi.Jiji hawakujua kuwa hilo halikuwa eneo lao? Kama ni stendi ipo sabasaba, a walking distance from Jamatini. Sidhani kama jiji hawana fedha kuboresha stendi hiyo.