sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Haya usiache kutupa yanayo jiri na sie tunasubiri pics...
choma kabisa
Mbona hamchomi wezi wa nchi?? Mnachoma vidagaa tu
Apana mkuu ningekua napenda kuona maiti ningekua Muhimbili kila siku ila hapa kuna habari zinaletwa mara mtoa habariMkuu kumbe huwa unapenda kuona maiti eenh?Tena unaambiwa mtu kachomwa moto still unataka uone maiti yake duh,we kiboko!