Jambazi achomwa moto Tegeta

Jambazi achomwa moto Tegeta

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
Kuna jamaa kanipigia simu sasa hivi kuwa kuna jambazi anachomwa, maeneo ya Tegeta (mkanada).Kwa waliopo maeneo hayo naomba watujuze zaidi.

Uptodate:


Watu wa ITV washafika eneo la tukio wanaendelea kuchukua picha,za matukio,jamaa ambaye alikuwa ananipa taarifa sasa hivi apatikani,naendelea kufuatilizia kwa watu wengine waliopo jirani na huko.
 
Haya usiache kutupa yanayo jiri na sie tunasubiri pics...
 
Mkuu kumbe huwa unapenda kuona maiti eenh?Tena unaambiwa mtu kachomwa moto still unataka uone maiti yake duh,we kiboko!
Apana mkuu ningekua napenda kuona maiti ningekua Muhimbili kila siku ila hapa kuna habari zinaletwa mara mtoa habari
kithibitisho hana sasa hii inasaidia...
 
Back
Top Bottom