kelvin miho
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 281
- 134
- Thread starter
- #21
Ok en sory for thatInasikitisha sana.!
Pole sana mkuu, huu uzi nimeandika toka July 30, 2016 (Miezi saba iliyopita).. Tazama hiyo link uliyowekewa hapo juu na mkuu moyes
I hope huyo "aliyekutumia" hajakulipisha hela, maana nasikia watu wanatoa stori humu wanawauzieni huko kwenye magroup ya whatsapp.. Tunawatafuta sana hao ili tuwafundishe kujiheshimu na kuheshimu wengine.!!