ng'wanankamba
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 346
- 121
Jambazi aliingia kanisani na bunduki akasema " Wanaosema wanampenda Yesu wabaki humu, wasiompenda watoke nje" Waumini wote wakatoka nje ndani akabaki mchungaji na wazee wawili tu. Jambazi akamgeukia mchungaji akamwambia " Sasa unaweza kuendelea na ibada baba mchungaji, nilitaka kukuondolea wanafiki" Merry Christmas and Happy New Year
copy and paste. Nitarudi baadae
copy and paste. Nitarudi baadae
We mwe.u, nenda kabisa usirudi mwanaizaya wewe ungejua humu wote sikupendi!