Jambazi mbunifu balaa

Jambazi mbunifu balaa

shelumwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
516
Reaction score
189
BAADA YA JAMBAZI KUINGIA BENKI

JAMBAZI : Usitikisike wewe lala chini tuliiiii maana pesa za serikali ila uhai ni wako unaumiliki mwenyewe .....ooooooh we fanya ujinga mimi nifanye upumbavu.


JE WEWE UNGEKUEPO KWENYE TUKIO UNGEPIGANIA PESA AU UNGETII KAULI YA KAKA JAMBAZI !???
 
Wewe roho tena natii amri bila shuruti na umeshaambiwa pesa ni za serikali uhai ni wako
 
Back
Top Bottom