"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje. Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote. Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.
Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.
Swali
Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?.
Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.
Eti mtu wa hatari sema nyinyi watu wa arusha mdebwedo huku aje basi zanzibar kama mtamsikia tena
Siamini kwamba huyu jamaa anampa PROMO bali hakuna mtu anayetaka kuonyesha nia ya kumdhuru bali anatakiwa afanyiwe AMBUSH. Huyu bwana anafadhiliwa na majangili mengine ya madini kama Justine Nyari na wengine kiasi kwamba ukijaribu jambo tu watafanya kama Erasto alivyofanywa.
"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje. Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote. Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.
Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.
Swali
Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?.
Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.
Huyo mtoto wa miaka ya tisini hawezi kumjua kabisachaaa, usimjue banjoo? mwenzetu!
haaaaaaa! nimecheka android bean jelly mpaka kwa jeneza?Ngoja afe utasikia "Billionea mwingine afariki Arusha", "mazishi yake yagharimu millioni mia mbili", "jeneza lake linatumia android..."
Geuza hayo maneno halafu acha matusi!!!
na kale kagari chake cha njano, full tinted!
Mkuu Mwana Kwetu
Banjoo si hatari kihivyo,huyu hana vigezo vya majambazi yaliyosifika kwa uwezo mkubwa wa kupanga mipango ya kijambazi.Kifupi huyu ni mtu wa kutumwa na kutumiwa huwezi kumweka kundi moja na akina Marehemu Juma Kipisi au mfungwa wa maisha Sadiki Mkindi.
Matukio ya ujambazi wa Banjoo mengi ni ya kutumwa si mipango yake mwenyewe.Hakuna ujambazi uliowahi kufanywa na Banjoo ukasema kweli huyu jamaa ni kichwaa sana sana anatumiwa fedha nyingi zinaingia anakatiwa kiasi cha mboga anachapa mwendo sasa huyu kamwe hawezi kuwekwa katika kundi la majambazi sugu ni kumkweza kwa sifa asizokuwa nazo.Mimi namwona kama mshamba fulani asiyekuwa na uwezo wa kusoma alama za nyakati.
unamjua huyo jamaa? aisee inabidi tukae meza moja tunywe bia ngongo.
Duh Nyamayao hivi kweli unaweza kudai wewe ni mwenyeji wa Arusha bila kufahamu mavitu ya Sadiki Mkindi ?.Sadiki Mkindi ni balaa nyingine ila siwezi kumsamehee hata siku moja kwa kutoa uhai wa Baby mtoto wa marehemu Major Makange.Nitafute Jmosi aise nitakuwa East Africa Hotel naangalia ligi ya UK.