Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

Kama unafanyiwa wewe tuuu basi jitathmini mkuu! Lazima uko na shida sehemu
Mfano nakupa halisi nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mpaka alikuja Arusha ila nilipopata matatizo Kazi sina akaniambia chukua time zako kila alichokitaka nilimpa hivyo usimuamini kwa sura sio roho ndo maana nikaandika ndomana kila siku watu wataendelea kuumizwa dada zetu wanataka vitu vikubwa oooh nataka mtu mwenye gari wakati kwao hata Baiskeli hawana ni hayo tu.
 
Nilimsaliti mwanamke wangu ambae nimedumu nae kwa Miaka sita na Kuja kujua mchepuko anaruka na ungo iliniuma sana. Ukiachana na mambo ya kuniloga Mimi na mwanamke wangu. Yule dada aliniweza. Ila nimejifunza sana Hawa viumbe nawafaidi kwa macho. Sitaki stress za mapenzi [emoji4][emoji4]

Najutia kwanza yule mchawi alitupanga wanaume watatu. Mie niligonga mchana mwamba akagonga usiku alizima siku nzima akapelekwa hospital kijaziwa maji hapo tukakutana Kila mjinga kaleta kiepe, wakati mie nimeleta na mishikaki wana wameleta vipaja. Tena mjinga mmoja kaleta vipaja viwili wale wote[emoji23][emoji23][emoji23]

Pole sana[emoji38][emoji38]
 
Ulkua umepanga kula na kusepa kumbe moyoni anakucheka anajua gusa unate😆
😂😂 Wanaume wote watatu kwake yeye alipata faida gani?

Yeye ndio katutumia sisi. Mshikaji alinunua chips na vipaja viwili wale wote alitokwa na machizi kabisa. Na alikuwa pande la mtu atakuwa msukuma tu.
Kwanza nimejifunza hata sili hovyo maana Kila mtu anajua limbwata siku hizi
 
Yaani hii scenario yako ya chips vipaja chips mishikaki inanichekesha sana!
 
😂😂 Wanaume wote watatu kwake yeye alipata faida gani?

Yeye ndio katutumia sisi. Mshikaji alinunua chips na vipaja viwili wale wote alitokwa na machizi kabisa. Na alikuwa pande la mtu atakuwa msukuma tu.
Kwanza nimejifunza hata sili hovyo maana Kila mtu anajua limbwata siku hizi
Faida si ndo kama hiyo ya chips vipaja na mishikaki. Kama angeongeza ndumba kidogo mngemjengea kabisa shauri yenu😆
 
Back
Top Bottom