Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Mfano nakupa halisi nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mpaka alikuja Arusha ila nilipopata matatizo Kazi sina akaniambia chukua time zako kila alichokitaka nilimpa hivyo usimuamini kwa sura sio roho ndo maana nikaandika ndomana kila siku watu wataendelea kuumizwa dada zetu wanataka vitu vikubwa oooh nataka mtu mwenye gari wakati kwao hata Baiskeli hawana ni hayo tu.Kama unafanyiwa wewe tuuu basi jitathmini mkuu! Lazima uko na shida sehemu
Jamaa ame edit sasa unaonekana mnoko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilimsaliti mwanamke wangu ambae nimedumu nae kwa Miaka sita na Kuja kujua mchepuko anaruka na ungo iliniuma sana. Ukiachana na mambo ya kuniloga Mimi na mwanamke wangu. Yule dada aliniweza. Ila nimejifunza sana Hawa viumbe nawafaidi kwa macho. Sitaki stress za mapenzi [emoji4][emoji4]
Najutia kwanza yule mchawi alitupanga wanaume watatu. Mie niligonga mchana mwamba akagonga usiku alizima siku nzima akapelekwa hospital kijaziwa maji hapo tukakutana Kila mjinga kaleta kiepe, wakati mie nimeleta na mishikaki wana wameleta vipaja. Tena mjinga mmoja kaleta vipaja viwili wale wote[emoji23][emoji23][emoji23]
Shukran Darling 😉Pole sana[emoji38][emoji38]
Ungekuta tushakusahau kama angezidisha ndumba kidogo😆Shukran Darling 😉
Nipe hongera pia kwa kuyashinda haya. .
Mwanamke unatakiwa umfanye mwanaume asiweze kuishi bila weweUngekuta tushakusahau kama angezidisha ndumba kidogo😆
Hongera mkuu
Sasa kama ulikua hauoneshi dalili ya kutoweza ishi bila yeye ndo mana akaongezea vikorombwezo kidogo 😆😆Mwanamke unatakiwa umfanye mwanaume asiweze kuishi bila wewe
Not with witchcraft tho. .
Namshukuru Darlin
Yule hayakuwa mapenzi. Yule aliniwekea dawa sio Bure. Now hata nikimuona road namchukia dawa zimefeli😬Sasa kama ulikua hauoneshi dalili ya kutoweza ishi bila yeye ndo mana akaongezea vikorombwezo kidogo 😆😆
Ulkua umepanga kula na kusepa kumbe moyoni anakucheka anajua gusa unate😆Yule hayakuwa mapenzi. Yule aliniwekea dawa sio Bure. Now hata nikimuona road namchukia dawa zimefeli😬
😂😂 Wanaume wote watatu kwake yeye alipata faida gani?Ulkua umepanga kula na kusepa kumbe moyoni anakucheka anajua gusa unate😆
Yaani hii scenario yako ya chips vipaja chips mishikaki inanichekesha sana!😂😂 Wanaume wote watatu kwake yeye alipata faida gani?
Yeye ndio katutumia sisi. Mshikaji alinunua chips na vipaja viwili wale wote alitokwa na machizi kabisa. Na alikuwa pande la mtu atakuwa msukuma tu.
Kwanza nimejifunza hata sili hovyo maana Kila mtu anajua limbwata siku hizi
Faida si ndo kama hiyo ya chips vipaja na mishikaki. Kama angeongeza ndumba kidogo mngemjengea kabisa shauri yenu😆😂😂 Wanaume wote watatu kwake yeye alipata faida gani?
Yeye ndio katutumia sisi. Mshikaji alinunua chips na vipaja viwili wale wote alitokwa na machizi kabisa. Na alikuwa pande la mtu atakuwa msukuma tu.
Kwanza nimejifunza hata sili hovyo maana Kila mtu anajua limbwata siku hizi
Wewe🤣😊😊Faida si ndo kama hiyo ya chips vipaja na mishikaki. Kama angeongeza ndumba kidogo mngemjengea kabisa shauri yenu😆
🤣🤣😂 Unanicheka bure tupe kisa chakoYaani hii scenario yako ya chips vipaja chips mishikaki inanichekesha sana!
Sijawahi mfanyia jambo baya mtoto wa mtu yoyote yule…
Wewe yapi umewahi kufanyiwa mabaya?Sijawahi mfanyia jambo baya mtoto wa mtu yoyote yule…
Sijawahi…Wewe yapi umewahi kufanyiwa mabaya?