Jambo gani litatokea kesho? Kanisa la Ufufuo litazungukwa na askari?

Jambo gani litatokea kesho? Kanisa la Ufufuo litazungukwa na askari?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Hili ni jambo dogo lakini linanihangaisha sana ninapolifikiria.

Askofu Gwajima anahatarisha afya ya Watanzania kwa kukataa chanjo na kuwashajiisha watu wasichanje. Lakini jambo gani litatokea? Askofu Gwajima anashusha hadhi ya Bunge. Hiyo ni kiashiria ya Askofu kufukuzwa ubunge? Askofu huyu ni mbunge bora kuliko yule aliyekuwepo kwanza. Kumfukuza ubunge siyo option.

Halafu kuna tatizo lingine. Siyo Askofu Gwajima peke. Serikali imeongeza gharama ya kusajili mashirika ya dini Jambo ambalo halijapokelewa vema na clerics. Wametishia kuiadhibu CCM kwe ye. Mtu lazima utabasamu ukisikia CCM inatishiwa na ballot.
Spika anataka kulimaliza hili swala kibunge. Lakini siku ya kesho inasahaulika kwamba ni Jumapili.

Serikali itashawishika kumkamata kesho ili irudishe amani na nidhamu nchini. Kama amani ilivyorudi nchini Mbowe alivyowekwa lupango. Hapa kuna irresistible force serikali versus an immoveable object Askofu.

Lakini hapa wapo wafuasi wa Askofu Gwajima ambao itakuwa siyo rahisi kuambiwa wawe watulivu ili Askofu achukuliwe kwa mahojiano Central.

Askofu Gwajima atakwenda Dodoma kesho kutwa bila shaka lakini kesho atapiga pigo moja takatifu. Kama Elijah anavyosema,"The Lord has said He will do something that will tingle the ears of anyone who hears it.",Askofu Gwajima anasema atazungumza mambo kila atakayesikia,sikio lake litasisimka.

CCM ni kawaida kufanya vikao kumjadili kada anayepotoka. Vinafanyika vikao vingi lakini sisi tunasikia tu kikao cha Membe, Nape, Kolimba. Laki hapa CCM haitaki simile.

So what kama chanjo itamfanya mtu awe zombi? Muhimu ni kuwa mtiifu kwa serikali. So what kama ipo New World Order inaleta fujo?
Hizi chanjo ni zile zile walizopewa wao. Sasa serikali isitishe. chanjo kwa sababu watu watano katika kila laki moja waliochanjwa watano wanaweza kudhurika. Chanjo zilizoletwa zote zikirudishwa Marekani watu wangapi watadhurika?

Marekani baada ya hii fiasco ya Afghanistan wanasema Biden hafai kuwa rais,lakini huyo Kamala Harris no femi kuliko Biden. Yaani watu wanazungumza vociferously( kwa sauti kubwa) kuipinga Katiba yao inayosema Biden akikaa pembeni Kamala Harris lazima awe rais.

Awamu ya Magufuli ilikuwa Awamu ya kiongozi Mkristu. Haya mabadiliko yaliyotokea ghafla yanaweza kuleta mtafaruku.
 
CCM haijawahi jibu hoja yeyeto pasipo msaada wa ndugu zao police.

CCM wakizidiwa hoja uomba msaada Police
 
"Gwajima ni mbunge bora kuliko aliyekuwepo".

Wewe ni walewale tu wenye akili finyu za ki-ccm.
 
Back
Top Bottom