jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Tarehe 1/4 kila mwaka huwa ni siku ya wajinga duniani
Binafsi sijawahi kudanganywa kwenye hii siku maana kila anaetaka kuniingia/kunidanganya huwa namshtukia mapema sana na kumwambia kua leo ni sikuku ya wajinga kwahiyo sidanganyiki [emoji3]
Vipi wewe ulishawahi kudanganywa siku ya wajinga?ilikuaje kuaje?