Jambo gani uliwahi kudanganywa kwenye siku ya wajinga?

jiwe gizani

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
380
Reaction score
507
Tarehe 1/4 kila mwaka huwa ni siku ya wajinga duniani

Binafsi sijawahi kudanganywa kwenye hii siku maana kila anaetaka kuniingia/kunidanganya huwa namshtukia mapema sana na kumwambia kua leo ni sikuku ya wajinga kwahiyo sidanganyiki [emoji3]

Vipi wewe ulishawahi kudanganywa siku ya wajinga?ilikuaje kuaje?
 
Mimi ni muhanga mmoja wapo.Ilikuwa 2019 nilipewa taarifa kuwa gari langu limedondoka na limesababisha vifo vya watu wanne.Taarifa nilizpokea kwa mshtuko ikapelekea nipoteze dollar 100 sababu ya hofu.Ila nilipokuja kujua kuwa n cku ya wajinga,aliyenipa taarifa nilimshtaki polisi.
 
Alishtakiwa?
 
Nilipigiwa simu na mteja asubuhi asubuhi kwamba niende dukani kwake nikachukue pesa nika deposit kwenye account yake. Yeye alisema yuko mwenyewe na wateja ni wengi.

Kwa heshima kabisa nikaenda, kufika dukani nikakuta kafunga box vizuri na upo seriuos kinyama. Akanikabidhi mzigo nikaondoka. sasa nikiwa njiani akanipigia kujua kama nimeshafika benki... nikamuambia nakaribia sana.

Nikaingia na box langu benki, kuna sehemu ya wateja wenye pesa nyingi upokelewa humo. Nikaaa kwenye kiti kwa mbwembe zangu kibao. By the way box lilikuwa na uzito wa kutosha almost kama kilo ishirini hivi.

Nikalifungua, nikakutana na chupa za za Savanna za kutosha, zimefungwa vizuri sana.... nikampigia mteja akacheka sana, sanaaa. Savannah tukagawana na bank teller nikaondoka nazo nyingine.
 
🤣🤣😅😅😅😅
Safi sana nimependa jinsi mteja alivyokuokota bila kukuathiri kisaikolojia
 
Nilipigiwa simu na mteja asubuhi asubuhi kwamba niende dukani kwake nikachukue pesa nika deposit kwenye account yake. Yeye alisema yuko mwenyewe na wateja ni wengi.

Kwa heshima kabisa nikaenda, kufika dukani nikakuta kafunga box vizuri na upo seriuos kinyama. Akanikabidhi mzigo nikaondoka. sasa nikiwa njiani akanipigia kujua kama nimeshafika benki... nikamuambia nakaribia sana.

Nikaingia na box langu benki, kuna sehemu ya wateja wenye pesa nyingi upokelewa humo. Nikaaa kwenye kiti kwa mbwembe zangu kibao. By the way box lilikuwa na uzito wa kutosha almost kama kilo ishirini hivi.

Nikalifungua, nikakutana na chupa za za Savanna za kutosha, zimefungwa vizuri sana.... nikampigia mteja akacheka sana, sanaaa. Savannah tukagawana na bank teller nikaondoka nazo nyingine.
[emoji3]
 
Hahaha
 
Nilitumiwa SMS na mwanafunzi WANGU akiniambia mwenyewe ila aki pretend ni rafiki pembeni kuwa mwanafunzi huyo hatunaye tena.ameaga dunia usiku uliopita.nami nikaziarifu mamlaka.
 
Nilipigiwa simu na mteja asubuhi asubuhi kwamba niende dukani kwake nikachukue pesa nika deposit kwenye account yake. Yeye alisema yuko mwenyewe na wateja ni wengi.

Kwa heshima kabisa nikaenda, kufika dukani nikakuta kafunga box vizuri na upo seriuos kinyama. Akanikabidhi mzigo nikaondoka. sasa nikiwa njiani akanipigia kujua kama nimeshafika benki... nikamuambia nakaribia sana.

Nikaingia na box langu benki, kuna sehemu ya wateja wenye pesa nyingi upokelewa humo. Nikaaa kwenye kiti kwa mbwembe zangu kibao. By the way box lilikuwa na uzito wa kutosha almost kama kilo ishirini hivi.

Nikalifungua, nikakutana na chupa za za Savanna za kutosha, zimefungwa vizuri sana.... nikampigia mteja akacheka sana, sanaaa. Savannah tukagawana na bank teller nikaondoka nazo nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom