jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Alishtakiwa?Mimi ni muhanga mmoja wapo.Ilikuwa 2019 nilipewa taarifa kuwa gari langu limedondoka na limesababisha vifo vya watu wanne.Taarifa nilizpokea kwa mshtuko ikapelekea nipoteze dollar 100 sababu ya hofu.Ila nilipokuja kujua kuwa n cku ya wajinga,aliyenipa taarifa nilimshtaki polisi.
Walikataa kulingana na mfumo wa kiutamaduni wa hii tar 1.4Alishtakiwa?
π€£π€£π π π πNilipigiwa simu na mteja asubuhi asubuhi kwamba niende dukani kwake nikachukue pesa nika deposit kwenye account yake. Yeye alisema yuko mwenyewe na wateja ni wengi.
Kwa heshima kabisa nikaenda, kufika dukani nikakuta kafunga box vizuri na upo seriuos kinyama. Akanikabidhi mzigo nikaondoka. sasa nikiwa njiani akanipigia kujua kama nimeshafika benki... nikamuambia nakaribia sana.
Nikaingia na box langu benki, kuna sehemu ya wateja wenye pesa nyingi upokelewa humo. Nikaaa kwenye kiti kwa mbwembe zangu kibao. By the way box lilikuwa na uzito wa kutosha almost kama kilo ishirini hivi.
Nikalifungua, nikakutana na chupa za za Savanna za kutosha, zimefungwa vizuri sana.... nikampigia mteja akacheka sana, sanaaa. Savannah tukagawana na bank teller nikaondoka nazo nyingine.
[emoji3]Nilipigiwa simu na mteja asubuhi asubuhi kwamba niende dukani kwake nikachukue pesa nika deposit kwenye account yake. Yeye alisema yuko mwenyewe na wateja ni wengi.
Kwa heshima kabisa nikaenda, kufika dukani nikakuta kafunga box vizuri na upo seriuos kinyama. Akanikabidhi mzigo nikaondoka. sasa nikiwa njiani akanipigia kujua kama nimeshafika benki... nikamuambia nakaribia sana.
Nikaingia na box langu benki, kuna sehemu ya wateja wenye pesa nyingi upokelewa humo. Nikaaa kwenye kiti kwa mbwembe zangu kibao. By the way box lilikuwa na uzito wa kutosha almost kama kilo ishirini hivi.
Nikalifungua, nikakutana na chupa za za Savanna za kutosha, zimefungwa vizuri sana.... nikampigia mteja akacheka sana, sanaaa. Savannah tukagawana na bank teller nikaondoka nazo nyingine.
Nilipigiwa simu na mteja asubuhi asubuhi kwamba niende dukani kwake nikachukue pesa nika deposit kwenye account yake. Yeye alisema yuko mwenyewe na wateja ni wengi.
Kwa heshima kabisa nikaenda, kufika dukani nikakuta kafunga box vizuri na upo seriuos kinyama. Akanikabidhi mzigo nikaondoka. sasa nikiwa njiani akanipigia kujua kama nimeshafika benki... nikamuambia nakaribia sana.
Nikaingia na box langu benki, kuna sehemu ya wateja wenye pesa nyingi upokelewa humo. Nikaaa kwenye kiti kwa mbwembe zangu kibao. By the way box lilikuwa na uzito wa kutosha almost kama kilo ishirini hivi.
Nikalifungua, nikakutana na chupa za za Savanna za kutosha, zimefungwa vizuri sana.... nikampigia mteja akacheka sana, sanaaa. Savannah tukagawana na bank teller nikaondoka nazo nyingine.
Duh [emoji3]Nilitumiwa SMS na mwanafunzi WANGU akiniambia mwenyewe ila aki pretend ni rafiki pembeni kuwa mwanafunzi huyo hatunaye tena.ameaga dunia usiku uliopita.nami nikaziarifu mamlaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipigiwa simu na mteja asubuhi asubuhi kwamba niende dukani kwake nikachukue pesa nika deposit kwenye account yake. Yeye alisema yuko mwenyewe na wateja ni wengi.