Jambo gani uliwahi kulifanya na ni siri yako tu

Jambo gani uliwahi kulifanya na ni siri yako tu

Kuhonga mademu hela alafu najidai kwa masela kua sijawahi na wala sithubutu kuhonga pesa
 
Niliwahi kushiriki kuiba kura za Mgombea niliekuwa nikitumika Kama Wakala wake Mkuu wa Jimbo 2015 Mkoa wa Dar Es salaam alikuwa akijiamini sana, niliiba kura zote za Wapiga kura hewa aliowachomeka niliziiba ili apate kura stahiki yake
Mungu atakulipa...p
 
23bf6d7594bce1745576872386b4bc31.jpg

salute!.

Katika hali ya kawaida binadamu tunakutana au hata kufanya mambo mengi sana mema na mabaya..Na mengine tulishashau kwasababu ama umepita muda mwingi tangu umelifanya au kwa sababu limekosa maana kulingana na hali au wakati ulio nao kwa sasa...
..

Kupitia uzi huu,ni jambo gani unalokumbuka uliwahi kulifanya lakini ni siri ama kwako mwenyewe au na mtu wako karibu sana lakini hakika ni siri.kuwa lingejulikana lingekushushia hadhi au hata kutoeleweka vuzuri familia,jamii au mahala pako pa kazi.
Nilikua natoka kimapenzi na dada yangu binamu...Dah ila nilitubu ..R.I.P Valelian wewe ulikua ndugu wa faida .
 
23bf6d7594bce1745576872386b4bc31.jpg

salute!.

Katika hali ya kawaida binadamu tunakutana au hata kufanya mambo mengi sana mema na mabaya..Na mengine tulishashau kwasababu ama umepita muda mwingi tangu umelifanya au kwa sababu limekosa maana kulingana na hali au wakati ulio nao kwa sasa...
..

Kupitia uzi huu,ni jambo gani unalokumbuka uliwahi kulifanya lakini ni siri ama kwako mwenyewe au na mtu wako karibu sana lakini hakika ni siri.kuwa lingejulikana lingekushushia hadhi au hata kutoeleweka vuzuri familia,jamii au mahala pako pa kazi.
Umeshasema ni siri yngu sasa kuna haja gani tena ya kukueleza wewe na wengneo wew mdukuzi?
 
Alinitokea Gal Sasa nilizoea kushika miti, siku Ilikuwa uwanja wa mpira hakuna miti Aaaa nilizimia chini tiiii kuinuka girl amesepa muda ...
 
Ngoja nifunguke tuu, wewe ni mwanangu na babako hajui, hii siri tunaijua mimi na mamako tuu, upo hapo??!
Only a stupid and foolish creature will dare say these!,unless otherwise tell me you are mad.

son of birch,... mother-fuker ...you ewe!!!.
 
Bora yanaishia kuwa siri......laiti kila mtu angesema siri zake basi hii dunia isingekalika.
 
Kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtoto wa Mama mwenye nyumba kwa karibia mwaka mmoja, ukizingatia yule Mama alinifanya kama mtoto wake.
 
Only a stupid and foolish creature will dare say these!,unless otherwise tell me you are mad.

son of birch,... mother-fuker ...you ewe!!!.

Bora ungeongea Kiswahili tu, mkuu haueleweki hata kidogo. Usipende kuandika lugha za watu huku ukichapia, unatia kinyaa.
 
Kila mtu huwa na history ambayo ni ngumu kuiongea kwa mtu yeyote mpaka kifo ,kuna matukio mabaya ya kufedhehesha tumeishayafanya kwa kujua au kwa kutokujua unajikuta unaregret kwa maisha yako yote,kuna baadhi huwa wanayaongea siku chache before their deaths.
Unaweza kufanya tukio likawa linakutesa na hata kukukosesha amani but huna jinsi inabidi kuvumilia till death.
Kuna mzee mmoja ambae mkewe alipotea kwenye mazingira ya kutatanisha na baaàdae maiti ikapatikana ikiwa na upungufu wa baadhi ya viungo,kutokana na walivyokua wakipendana hakuna alieweza kumhisi yule mzee,but alivyokaribia kufa ndipo akatoa siri na kufariki dah!.
 
Bora ungeongea Kiswahili tu, mkuu haueleweki hata kidogo. Usipende kuandika lugha za watu huku ukichapia, unatia kinyaa.
Hujaelewa nin?....tumia akili nying kupata vitu ving....au neno "ewe" limekonga? Just google...unahisi lugha ngeni kwako ni kwakila mtu....ndio maana unaandika ujinga...swine....
 
Hujaelewa nin?....tumia akili nying kupata vitu ving....au neno "ewe" limekonga? Just google...unahisi lugha ngeni kwako ni kwakila mtu....ndio maana unaandika ujinga...swine....

Just angalia unavyo andika kisha njoo tena hapa. Jifunze kuandika vizuri lugha za wenzio, si vizuri ufanyavyo. Ukiona huwezi basi andika kwa lugha yako au nayo pia huijuwi?
 
Kama ni siri kwanini niseme hapa? Siri zingine ni za kufa nazo moyoni!!!
 
Back
Top Bottom