Jambo gani unapaswa kufanya ukisababishiwa ajali?

Jambo gani unapaswa kufanya ukisababishiwa ajali?

amos eglan

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
310
Reaction score
463
Ni kitu gani dereva anatakiwa kufanya cha haraka endapo chombo chako cha usafiri utagongwa na gari jingine na sehemu ambayo huwezi kupata msaada wa traffic kupima ajali? Ni kitu gani natakiwa nifanye ili dereva asikimbie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga picha au chukua video nxt tme usiuoize maswali simple
 
Back
Top Bottom