JAMBO HILI LITATOKEA LEO USIKU TANZANIA! Usichelewe kurudi nyumbani please!

JAMBO HILI LITATOKEA LEO USIKU TANZANIA! Usichelewe kurudi nyumbani please!

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
UTABIRI! Leo usiku kuanzia mida ya saa mbili karibia vituo vyote vya habari (radio na tv) nchini vitakuwa vinatangaza taarifa ya habari mbali zilizojiri hapa duniani kama ilivyo kawaida.Kwa hyo wahi mapema nyumbani ili usipitwe. Asanteni kwa kupitia. kama haitatokea hvyo mods nipeni ban
 
Hivi matokeo ya form four hayajatoka jamani?

Huu utoto mmnhh!
 
We mtoto acha kuchezea muda! Hizo habari za kimataifa mbona zipo kila siku? Nenda kajisaidie ulale!
 
Sasa jamani si ndo utani!?
Yawezekana ni mtu mzima na mambo yake.
 
mh mi sishangai ndo kwanza ktoka itigi mwache akimbilie taarifa ya habari kwenye tv akizoea ataacha
:eyebrows::washing:
 
Back
Top Bottom