Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
Kumekuwa na mfumuko wa nyimbo za dini hasa kwenye baadhi ya makanisa ya walokole ambazo hata hazijengi muumini kiimani na kumfanya awe mtulivu kutafakari bali zinamfanya mtu acheze kama burudani na zinawezakuhamasisha anasa kutokana na staili yake ya uimbaji na uchezaji.Nyimbo zinaimbwa kwa staili ya singeli na nyingine tarabu ni aibu kuimba nyimbo za kupagawisha na kuburudisha badala ya kujenga imani na tafakari njema.
Acheni kuimba kwa kulenga kipato tu nashauri baadhi mbadilike.Tafakari njema.
Acheni kuimba kwa kulenga kipato tu nashauri baadhi mbadilike.Tafakari njema.