Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
Umenena vyema sana.Nyimbo ni tenzi za rohoni...
Zingine za kuabudu...
Mf.. aliingia rohoni mwangu...
Kumekuwa na mfumuko wa nyimbo za dini hasa kwenye baadhi ya makanisa ya walokole ambazo hata hazijengi muumini kiimani na kumfanya awe mtulivu kutafakari bali zinamfanya mtu acheze kama burudani na zinawezakuhamasisha anasa kutokana na staili yake ya uimbaji na uchezaji.Nyimbo zinaimbwa kwa staili ya singeli na nyingine tarabu ni aibu kuimba nyimbo za kupagawisha na kuburudisha badala ya kujenga imani na tafakari njema.
Acheni kuimba kwa kulenga kipato tu nashauri baadhi mbadilike.Tafakari njema.
Shetani na mama mkwe wake wamekaribia misumariWe unasikia nyimbo inaanza shetani na malaika wake wanalia, shetani na malaika wake wamekalia misumari hahaha kwa nini usipige viduku
Ni shetani na mama mkwe wake sio malaika wakeWe unasikia nyimbo inaanza shetani na malaika wake wanalia, shetani na malaika wake wamekalia misumari hahaha kwa nini usipige viduku
yani hovyo kabisa.Shetani na mama mkwe wake wamekaribia misumari
Kuna tofauti kati ya Gospel music na hymns of worship. Gospel ni muziki wa injili wenye nia ya burudani zaidi. Huwezi kusikiliza Gospel kanisani, hilo nakataa hata mimi.
Hizo Tenzi zipo katika kundi la hymns of worship ambazo mara nyingi tunaimba kanisani zaidi.
Siku hizi anaimbiwa Mungu basii?? Anaimbiwa mwanadamu ndio maana lazima utumie mbinu ya kumfurahisha..