Nifanye Nini
Member
- Sep 5, 2022
- 61
- 147
Hakuna kitu kinaleta msongo wa mawazo kwa sisi madomo zege kama kuona washikaji wanavyoraluwa pisi kali for free.
Yaani unaona pisi inastahili kuhandle with care ila wahuni wanaitreat kama gari bovu.
Yaani unaona pisi inastahili kuhandle with care ila wahuni wanaitreat kama gari bovu.