Daudi kambona
Member
- May 21, 2023
- 7
- 3
Hiki kitu ni hatari sana kwenye hatima ya maisha ya nafsi za watu kuokolewa au kupotea milele: USHOGA na USAGAJI. Ni kweli maandiko yamenyamaza kuhusu msamaha wao. Ila ndugu, usijaribu kufanya vitendo hivi. Nitauliza maswali mawili tu mwenyekiti upeo anijibu:
- Anayeweza kuonesha mahali kwenye maandiko ambapo MUNGU amesamehe hili anitajie.
- Niambieni ni mtakatifu yupi ameenda mbinguni ambaye alikuwa shoga, msagaji, mfiraji. Ndugu zangu, soma Mwanzo mpaka Ufunuo huwezi kupata majibu ya maswali hayo.