Jambo hilo linekuharibia sana Rais Magufuli

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,197
Huo ndiyo UKWELI!

Hata km ni mchungu lkn huo ndiyo UKWELI!Hali halisi hata huku mtaani upande wa pili umekwazika na hawana imani na wewe tena!

Tulikisihi uachane na MAHABA ya u-Simba na u Yanga ZITAKUHALIBIA,ukapuuza!

Nasikia hata baadhi ya washauli wako uliwakatalia lazima uende....hhhhh!

Impact ya jambo hilo si tu itaonekana leo bali hii umejenga chuki kwa upande wa pili hadi mwisho wa utawala wako.

Japokuwa eti unajifanya ww si mwanasimba lkn Mungu huwa hamfichi...Hiyo ilizihirika kwa wewe kukaririwa ukitamka `Nyinyi wana Simba 'hhhhh!

Nasikia mechi ijayo ya Yanga na Gor Mahia umepanga kuibuka uwanjani ili eti u-balance mambo;mm nakucheki tu-kubali umejiharibia!

Kikwete na MAHABA yake kwa timu ya Yanga lkn HAKUTHUBUTU kwa namna yeyote kujihusisha nayo kwa maana ya moja kwa moja!ALIKUWA MJANJA!

ANY WAY,HOMGERA KWA KWENDA KUISAPOTI TIMU YA WAZUNGUSHA MIKONO a.k.a WAZEE WA UKAWA!

YANGA SHTUKENI!
 
Ni maoni yako, hatuna budi kuyaheshimu.
 
Siasa za nchi hii kama NEC ndio hii hii na kwa katiba ile ile na vyombo vya dola hivi tulivyonavyo, basi hakuna namna. Opposition will never be victors.
 
Yanga mbona mna akili ndogo sana, hivi kati ya mahaba ya mpira na mahaba ya dini, nini huwa inaleta utengano zaidi? Mbona viongozi huingia huku na huku lkn hakuna chuki yeyote? Iweje kwenye mpira tena ni jambo la kujifurahisha tu? Raisi jana kaelezea vizuri sababu za kukubali mwaliko, na kwa kiasi kikubwa kaiponda simba hadharani, bado yanga hamuelewi tu?. Dah! Yanga kwakweli ni hasara kubwa.
 
Mambo ya mpira yanawapeleka PUTA mpaka HURUMA, Mtapasuka bure
 
Huo ni mpira tu wana yanga......acheni presha
Mbona enzi za jk yanga mlikuwa mna bebwa mpaka kupatiwa mapesa kedekede....simba walitulia tu......
This Is football....Kila Mtu ana haki ya kuonesha mapenzi yake kwa timu anayeipenda.....

Ova
 
Huo ndiyo UKWELI!

Hata km ni mchungu lkn huo ndiyo UKWELI!Hali halisi hata huku mtaani upande wa pili umekwazika na hawana imani na wewe tena!

Tulikisihi uachane na MAHABA ya u-Simba na u Yanga ZITAKUHALIBIA,ukapuuza!

Nasikia hata baadhi ya washauli wako uliwakatalia lazima uende....hhhhh!

Impact ya jambo hilo si tu itaonekana leo bali hii umejenga chuki kwa upande wa pili hadi mwisho wa utawala wako.

Japokuwa eti unajifanya ww si mwanasimba lkn Mungu huwa hamfichi...Hiyo ilizihirika kwa wewe kukaririwa ukitamka `Nyinyi wana Simba 'hhhhh!

Nasikia mechi ijayo ya Yanga na Gor Mahia umepanga kuibuka uwanjani ili eti u-balance mambo;mm nakucheki tu-kubali umejiharibia!

Kikwete na MAHABA yake kwa timu ya Yanga lkn HAKUTHUBUTU kwa namna yeyote kujihusisha nayo kwa maana ya moja kwa moja!ALIKUWA MJANJA!

ANY WAY,HOMGERA KWA KWENDA KUISAPOTI TIMU YA WAZUNGUSHA MIKONO a.k.a WAZEE WA UKAWA!

YANGA SHTUKENI!
Yahani wewe unaona hili lime mharibia kuliko anavyo haribiwa na kundi lake la wasio julikana wanao uwa, teka poteza na kuchafua?????
 
Yanga mbona mna akili ndogo sana, hivi kati ya mahaba ya mpira na mahaba ya dini, nini huwa inaleta utengano zaidi? Mbona viongozi huingia huku na huku lkn hakuna chuki yeyote? Iweje kwenye mpira tena ni jambo la kujifurahisha tu? Raisi jana kaelezea vizuri sababu za kukubali mwaliko, na kwa kiasi kikubwa kaiponda simba hadharani, bado yanga hamuelewi tu?. Dah! Yanga kwakweli ni hasara kubwa.
90% ya watz wamegawanyika kwenye dini, kabila, vyama na mpira..simba au yanga. kama huamini basi
 
Huo ndiyo UKWELI!

Hata km ni mchungu lkn huo ndiyo UKWELI!Hali halisi hata huku mtaani upande wa pili umekwazika na hawana imani na wewe tena!

Tulikisihi uachane na MAHABA ya u-Simba na u Yanga ZITAKUHALIBIA,ukapuuza!

Nasikia hata baadhi ya washauli wako uliwakatalia lazima uende....hhhhh!

Impact ya jambo hilo si tu itaonekana leo bali hii umejenga chuki kwa upande wa pili hadi mwisho wa utawala wako.

Japokuwa eti unajifanya ww si mwanasimba lkn Mungu huwa hamfichi...Hiyo ilizihirika kwa wewe kukaririwa ukitamka `Nyinyi wana Simba 'hhhhh!

Nasikia mechi ijayo ya Yanga na Gor Mahia umepanga kuibuka uwanjani ili eti u-balance mambo;mm nakucheki tu-kubali umejiharibia!

Kikwete na MAHABA yake kwa timu ya Yanga lkn HAKUTHUBUTU kwa namna yeyote kujihusisha nayo kwa maana ya moja kwa moja!ALIKUWA MJANJA!

ANY WAY,HOMGERA KWA KWENDA KUISAPOTI TIMU YA WAZUNGUSHA MIKONO a.k.a WAZEE WA UKAWA!

YANGA SHTUKENI!

Acha utoto.. Yanga mnafungwa fungwa mnaacha shit hole wazi unafikiria nn..!! Mh Rais wetu ni mshabiki wa timu zetu zote.. Ww ndio mfitini tu, waambie Yanga waache kuacha wazi shit hole, sbb mtafungwa tu
 
Sio kwenye kila jambo lazima mtoe maoni. JK alikuwa mwanayanga na kwa taarifa yako kisirisiri alikuwa akisaidiana na Manji katika kuifanya Yanga iwe ya kimataifa.

Suala hilo wanasimba walilifahamu na wakawa wakimya wakitambua kwamba huwezi kuyaingilia mapenzi binafsi ya mtu.

Leo hii kwa JPM kuwa shabiki wa Simba kwenu wanayanga inakuwa nongwa!!. Kwa taarifa yako wanayanga wenzako wenye busara na hekima wanabakia kimya kwani wanatambua kuwa tangu tupate uhuru marais karibu wote walikuwa ni mashabiki wa Yanga kuanzia hayati Mwalimu Nyerere.

Kubalini tu kwamba rais ni binadamu mwenye haki ya kushabikia timu anayoipenda. Na kama nilivyokwambia wanayanga wenye busara na hekima hawawezi kuumizwa na rais kuwa shabiki wa Simba.

Achaneni na haya mawazo mgando eti kwamba kama mtu hashabiki Yanga basi hastahili kuonyesha mahaba yake kwa Simba.

Jipangeni ili timu Yanga iweze angalau kupata pointi tatu watakapokuja Gor Mahia kwenye mechi ya makundi kombe la shirikisho, kumfunga USM Algiers ni ndoto za mchana.
 
90% ya watz wamegawanyika kwenye dini, kabila, vyama na mpira..simba au yanga. kama huamini basi
Labda hujanielewa. pamoja na kugawanyika huko, bado kiongozi wa nchi, naweza kuingia kanisani kwaajili ya kupeleka surpot yeyote, na waisilam bado wakawa na imani naye, kwanini JPM, eti kisa kaenda kukabidhi kombe kwa simba, ndo ionekane kajiharibia?
 
Mtajuana wenyewe
IMG-20180519-WA0048.jpg
 
Labda hujanielewa. pamoja na kugawanyika huko, bado kiongozi wa nchi, naweza kuingia kanisani kwaajili ya kupeleka surpot yeyote, na waisilam bado wakawa na imani naye, kwanini JPM, eti kisa kaenda kukabidhi kombe kwa simba, ndo ionekane kajiharibia?
Huyu ni mwanayanga, kwa sasa anaumia kweli anapoona timu yake ikigeuzwa kuwa jamvi la wageni.
 
Sasa ni dhahiri kwa nini Manji alitendewa alichofanywa na inaonyesha wazi Bashite anavyotumiwa kwenye agenda za Mutukufu
 
Kumbe ndiyo maana manji ameacha kabisa kujihusisha na yanga anaogopa kibano kingine
 
Labda hujanielewa. pamoja na kugawanyika huko, bado kiongozi wa nchi, naweza kuingia kanisani kwaajili ya kupeleka surpot yeyote, na waisilam bado wakawa na imani naye, kwanini JPM, eti kisa kaenda kukabidhi kombe kwa simba, ndo ionekane kajiharibia?
sawa! ivi unajua hata ile issue ya manji mtu akiihusisha na jangwani kufanya vibaya nayo ina impacts zake?
 
Yanga mbona mna akili ndogo sana, hivi kati ya mahaba ya mpira na mahaba ya dini, nini huwa inaleta utengano zaidi? Mbona viongozi huingia huku na huku lkn hakuna chuki yeyote? Iweje kwenye mpira tena ni jambo la kujifurahisha tu? Raisi jana kaelezea vizuri sababu za kukubali mwaliko, na kwa kiasi kikubwa kaiponda simba hadharani, bado yanga hamuelewi tu?. Dah! Yanga kwakweli ni hasara kubwa.
Yanga ni kama CCM tu wamezoea kubebwa na dola.
 
Back
Top Bottom