johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Bwashee nyie mnavuka baada ya kukamilisha vipimo vyote!Sasa sisi madereva wa semi trailer tutaishije asee?!!
Tatizo kubwa lipo ndani na JKIA.
Tukiendelea na huu mrundikano wa watu kila sehemu yatatukuta kama ya SA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa sisi madereva wa semi trailer tutaishije asee?!!
Ndio inapopatikana ruzuku ya Ufipa hapo kwenye kodi!Jiwe kakomaa na kukusanya kodi za mipakani
In God we Trust
Ya CCM inatoka wapi?Ndio inapopatikana ruzuku ya Ufipa hapo kwenye kodi!
Hiyo unaonyesha gisi wenzetu walivyokuwa serious wakati sisi kila kitu ni siasa
Siasa zinaletwa na wale wasioifahamu vema nchi yao na kujitia ujuaji kwenye kila kitu. Wanafananisha mipaka yetu na ile ya nchi za Ulaya ambako ukifunga "geti" umefunga mpaka tayari. Hivi mpaka kama wa Tunduma/Nakonde unaufungaje kwa mfano? Kuna mitaa/vijiji ni ngumu hata kujua wapi Tz na wapi Zambia!Hiyo unaonyesha gisi wenzetu walivyokuwa serious wakati sisi kila kitu ni siasa
Miradi ya CCM inatoa gawio kwa serikali .....usisahau hilo bwashee!Ya ccm inatoka wapi?
In God we Trust
Miradi ya CCM inatoa gawio kwa serikali .....usisahau hilo bwashee!
Hii Tabia ya kusubiri mipaka ijifunge yenyewe ni hatari sanaTukianzia na mipaka ya nchi kavu upande wa kaskazini ilipo Kenya umejifunga
Upande wa kanda ya ziwa zilipo Uganda na Rwanda umejifunga
Upande wa magharibi zilipo DRC na Burundi umejifunga.
Na upande wa mashariki zilipo Zanzibar na Comoro umejifunga
Bado kusini ilipo Msumbiji na Nyanda za juu zilipo Zambia na Malawi.
Mpaka wa JNIA na KIA nayo itajifunga soon.
Hii ni baada ya nchi tunazopakana nazo kufunga mipaka yake kadhalika mashirika ya ndege huko Duniani kusimamisha safari.
Maendeleo hayana vyama!
Ya nini?!Kwahiyo hamchukui ruzuku?
In God we Trust
Nani amesubiri bwashee?
Sasa sisi madereva wa semi trailer tutaishije asee?!!
Bwashee nyie mnavuka baada ya kukamilisha vipimo vyote!
Haya yote yamesabishwa na vile vijitu vifupi kwa ulafi wao wa kula nyama zisizoeleweka.chinnese virus ni hatar kwa afya na uchumi wa taifaTukianzia na mipaka ya nchi kavu upande wa kaskazini ilipo Kenya umejifunga